MKURUGENZI WA MANISPAA YA SONGEA ANASIKITIKA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA MANISPAA YA SONGEA KUWA,MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI WA MANISPAA HIYO,ULIOTARAJIWA KUFANYIKA KESHO JUMATANO MEI 9,2018 KWENYE UKUMBI WA MANISPAA YA SONGEA UMEHAIRISHWA HADI HAPO MTAKAPOTANGAZIWA TENA.
TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU ULIOTOKEA.
TANGAZO LIMETOLEWA NA MKURUGENZI MANISPAA YA SONGEA
MEI 8,2018
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa