MWENGE wa Uhuru umekamilisha mbio zake katika Halmashauri zote tatu zinazounda Wilaya ya Songea .Halmashauri hizo ni Songea Manispaa ,Halmashauri ya Madaba na Halmashauri ya Wilaya ya Songea.Mkuu wa wilaya ya Songea Pololet Mgema ameukabidhi Mwenge huo kwa Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Sophia Kizigo Septemba 27,2019.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa