MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme akiwa na Kamati ya ulinzi na usalama Mkoa na wilaya ya Songea ameongoza kikao maalum kilichofanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea,ambacho ajenda kuu ilikuwa ni Changamoto za ukusanyaji wa mapato katika Manispaa ya songea,pamoja na mambo mengine Mndeme ameagiza Kuhakikisha katika mwaka huu wa fedha,Manispaa inakusanya mapato kwa zaidi ya asilimia 81 na kuchukuliwa hatua kali kwa watendaji wote waliofanya udanganyifu na watakaohujumu mapato ya Halmashauri.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa