MKURUGENZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea Tina Sekambo amewakabidhi vyeti madiwani mawili ambao wamepita bila kupingwa katika Manispaa ya Songea.Madiwani hao ni Mchungaji Martin Mlata wa Kata ya Matarawe na Diwani wa Kata ya Ruvuma Msosa Msosa.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa