Picha mbalimbali za matukio ya kikao cha viongozi wa vyama vya siasa kwa lengo la kutoa maelekezo ya uboreshaji wa daftari la wapiga kura, qmbqcho kimefanyika leo tarehe 04 Januari 2025 Jimbo la Songea Mjini.
Zoezi la uboreshaji wa daftari la wapiga Manispaa ya Songea linatarajia kuanza mnamo tarehe 12 Januari 2025 hadi tarehe 18 Januari 2025 kwa kata 21 kwa vituo 161 ambapo kwa awamu ya kwanza uboreshaji wa daftari utafanyika kwa vituo 160.
IMEANDALIWA NA;
AMINA PILLY
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa