Halmashauri ya Manispaa ya Songea leo tarehe 20 Agost 2023 imeandaa mafunzo ya Mfumo wa manunuzi kwa wakuu wa Idara na Vitengo yanayofanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Songea kwa lengo la kuboresha utendaji wa kazi katika mchakato wa manunuzi hadi kumtangaza mshindi.
Mtirikrio huo umebainisha kuwa kila mtumiaji atakuwa na jukumu lake kutokana na taratibuza manunuzi.
Mafunzo hayo yanaendeshwa na maafisa TEHAMA kwa kushirikiana na wataalamu wa Manunuzi yatakayofanyika kwa muda wa siku tatu kuanzia leo tarehe 20 Agosti 2023.
IMEANDALIWA NA;
AMINA PILLY
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa