JESHI la kujenga Taifa(JKT) limefanya uteuzi wa vijana waliohitimu kidato cha sita 2018 kutoka shule zote za sekondari Tanzania Bara mwaka 2018 kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kwa muda wa miezi mitatu.Wanafunzi wanatakiwa kuripoti makambini kuanzia Juni mosi hadi 10 2018
BOFYA HAPAhttp://www.jkt.go.tz/component/k2/item/763-mujibu-wa-sheria-2018.html kuona Kambi ulilopangiwa
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa