• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Songea Municipal Council
Songea Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafi
      • Maji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Arthi na Mipangomiji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Legal Services
      • Mawasiliano, Habari na Teknolojia
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi isiyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MAKABIDHIANO YA OFISI YA MKURUGENZI

Tarehe ya kuwekwa: March 27th, 2024

Mstahiki Meya  Manispaa ya Songea Mheshimiwa Michael Mbano ameshuhudia makabidhiano ya ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea ambayo yamefanyika leo tarehe 27 Machi 2024 kati ya Dkt. Frederick Sagamiko Mkurugenzi anayehama na Adv. Bshir Muhoja Mkurugenzi anayehamia.

Mhe. Mbano alianza kwa kumpongeza Dkt. Frederick Sagamiko kwa kuaminiwa  na kuteuliwa tena ambaye amehamia Halmashauri ya Jiji la Tanga kwenda kuwa Mkurugenzi wa Jiji hilo.

Aidha, almpongeza Wakili. Bashir Muhoja ambaye amehamia Manispaa ya Songea na kuwa Mkurugenzi Manispaa ya Songea ambapo alimpongeza na kumkaribisha katika Halmashauri hiyo.

Alisema “kwa muda wa miaka miwili na miezi sita Dkt. Frederick Sagamiko  amefanya kazi kwa ushirikiano mkubwa kutoka kwa madiwani, watumishi na wananchi ambapo  leo yanafanyika makabidhiano haya ili kazi za Serikali ziweze kuendelea.”  Alipongeza”

Kwa upande wake Dkt. Frederick Sagamiko aliyekuwa Mkurugenzi Manispaa ya Songea ametoa shukrani kwa Serikali,  wananchi, Madiwani, na wataalamu wote Manispaa ya Songea kwa ushirikiano walioutoa wakati wa uongozi wake ambapo aliweza kutekeleza vizuri shughuli za Serikali na kufikia malengo yaliyowekwa. “Aliwashukuru na kuwaaga.”

Aidha kwa upande wake Wakili. Bshir Muhoja amemshukuru Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kumteua  kuja kuwatumikia wananchi wa Manispaa ya Songea pia amewataka watumishi kutii wajibu na hatapendelea mtumishi ambaye hatii wajibu wake. “alisisitiza”.

Makabidhiano hayo yamefanyika mbele ya wakuu wa idara na vitengo

IMEANDALIWA NA;

AMINA PILLY

KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI.






Matangazo

  • TANGAZO LA LESENI ZA BIASHARA January 22, 2025
  • TANGAZO la usafi wa mazingira Jumamosi ya mwisho wa mwezi Septemba 2024 February 27, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Yafanikiwa Kurejesha Mil. 9.2, na Kudhibiti Mianya ya Rushwa.

    May 30, 2025
  • TAKUKURU Ruvuma Yawezesha kupatikana fedha za makusanyo Songea Dc

    May 30, 2025
  • ALAT Ruvuma na Baraza la Madiwani la Chalinze Watembelea Manispaa ya Iringa Kujifunza Ukusanyaji wa Mapato.

    May 29, 2025
  • ISMAIL ALI MKIMBIZA MWENGE KITAIFA ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

ALAT RUVUMA ZIARANI IRINGA TC
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Songea diistrict websites
  • Madaba District Council Website
  • Tunduru District Website
  • Namtumbo District Website
  • Nyasa District Website
  • Mbinga Town Council Website
  • Mbinga District Council Website
  • Songea Municipal face book

Tovuti Mashuhuri

  • Wizara ya Fedha
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics
  • Baraza la Mitihani Tanzania

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

    Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA

    Simu ya Mezani: 025 2602970

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@songeamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa