MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amewataka makatibu wa vyama vya msingi vya USHIRIKA vya Korosho kufanya kazi kwa uadilifu na weledi katika mauzo ya Korosho msimu huu.Mndeme alikuwa anazungumza na makatibu hao baada ya Kuapishwa na Hakimu kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea ambapo makatibu kutoka wilaya zinazolima Korosho mkoani Ruvuma wameapishwa.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa