MAKUSANYO ya Mapato katika Hamashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma yamefikia asilimia 74 hadi kufikia mwezi huu.Hayo yamesemwa na Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Alhaj Abdul Hassan Mshaweji wakati anazungumza katika kikao kazi kilichofanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea na kuwashirikisha waheshimiwa madiwani,maafisa watendaji wa Kata na watalaam wa Manispaa hiyo.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa