• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Songea Municipal Council
Songea Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafi
      • Maji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Arthi na Mipangomiji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Legal Services
      • Mawasiliano, Habari na Teknolojia
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi isiyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Manispaa Ya Songea Bila Utapiamlo Inawezekana.

Tarehe ya kuwekwa: July 2nd, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololet Kamando Mgema ameongoza kikao kazi cha tathimini ya utekelezaji wa mkataba wa lishe ngazi ya kata kwa kipindi cha Aprili – Juni 2021, kilichofanyika leo tarehe 02 Julai 2021 katika ukumbi wa Manispaa Songea.

Pololet amesema tathimini hiyo imefanyika kwa lengo la kuhakiki utekelezaji wa mkataba wa lishe kutoka kata 21 ndani ya Manispaa ya Songea, ambazo zinaonesha  idadi halisi ya watoto wenye utapiamlo ambapo kwa sasa utapiamlo umepungua kwa kiwango  cha asilimia 100%  ukilinganisha na kipindi cha robo mwaka Januari- Machi 2021 ambapo takwimu zinaonesha idadi ya watoto wenye utapiamlo ilikuwa ni asilimia 0.6%.

Amewataka maafisa watendaji wa kata, maafisa watendaji wa mitaa na wahudumu wa afya kuendelea kutembelea kwenye kaya za wa mama wajawazito na watoto wenye umri chini ya miaka mitano ili kuwapatia elimu ikiwemo na kuhakikisha wanahudhuria kliniki mara kwa mara.

Naye Afisa lishe Manispaa ya Songea Frolentine Kissaka amesema miongoni mwa changamoto zinazokwamisha utekelezaji wa lishe kwa jamii ni pamoja na  kuwepo kwa kiwango kidogo cha utambuzi wa watoto wenye utapiamlo hususani ( utapiamlo mkali  katika jamii),  na baadhi ya kata kuchelewa kuleta taarifa zinazohusiana na tekelezaji wa mkataba wa lishe katika mitaa yao kwa wakati.

 Pamoja na changamoto hizo  Halmashauri Manispaa ya Songea imefanikiwa katika utekelezaji wa lishe ya jamii katika kipindi cha aprili hadi juni 2021 kwa kupungua  utapiamlo   kwa  asilimia 100% , hii ni kutokana ushirikiano na ukaribu wa  jamii pamoja na mwitiko mkubwa wa viongozi ngazi ya Wilaya, Halmashauri, kata na Mitaa.

Alisema Mikakati ya  Halmashauri ya Manispaa ya Songea katika kutekeleza Mkataba wa Lishe kwa jamii ni  pamoja na  kuwawezesha  wahudumu wa afya ngazi ya jamii ili  kuimarisha usimamizi kwenye  mitaa/ kata ambako ni sehemu kubwa ya  kiini cha kuleta mabadiliko katika jamii ili kuongeza wigo wa kufanya  kazi za uchunguzi wa hali ya lishe na  kuweza kuibua watoto wengi  wenye tatizo la utapiamlo ngazi ya  mitaa. ‘Kissaka alieleza’.

IMEANDALIWA NA;

AMINA PILLY;

AFISA HABARI  MANISPAA YA SONGEA.

02/ 07/ 2021.

Matangazo

  • TANGAZO LA LESENI ZA BIASHARA January 22, 2025
  • TANGAZO la usafi wa mazingira Jumamosi ya mwisho wa mwezi Septemba 2024 February 27, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Yafanikiwa Kurejesha Mil. 9.2, na Kudhibiti Mianya ya Rushwa.

    May 30, 2025
  • TAKUKURU Ruvuma Yawezesha kupatikana fedha za makusanyo Songea Dc

    May 30, 2025
  • ALAT Ruvuma na Baraza la Madiwani la Chalinze Watembelea Manispaa ya Iringa Kujifunza Ukusanyaji wa Mapato.

    May 29, 2025
  • ISMAIL ALI MKIMBIZA MWENGE KITAIFA ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

ALAT RUVUMA ZIARANI IRINGA TC
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Songea diistrict websites
  • Madaba District Council Website
  • Tunduru District Website
  • Namtumbo District Website
  • Nyasa District Website
  • Mbinga Town Council Website
  • Mbinga District Council Website
  • Songea Municipal face book

Tovuti Mashuhuri

  • Wizara ya Fedha
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics
  • Baraza la Mitihani Tanzania

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

    Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA

    Simu ya Mezani: 025 2602970

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@songeamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa