AFISA Elimu Msingi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma Zakia Fandy amesema Halmashauri hiyo imejipanga katika mwaka huu kuhakikisha kuwa inafaulisha kwa asilimia 95 katika mitihani ya Taifa ya darasa la nne na darasa la saba.Fandy ameyasema hayo wakati anazungumza katika hafla ya kupokea vishikwambi 96,kompyuta na projekta katika shule kumi vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni 885.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa