MRADI wa ujenzi wa barabara za lami nzito katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma umefikia zaidi ya asilimia 90.Mradi huo unagharimu shilingi bilioni 13 kutekeleza barabara zenye urefu wa kilometa n10.3 ambapo Mkandarasi amekamilosha barabara zote na kazi zilizobakia kutekeleza mradi huo ni ujenzi wa maeneo ya watembea kwa miguu na kuweka taa za barabarani.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa