MKURUGENZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea Tina Sekambo amewashukuru watumishi wote wa Manispaa kwa kazi kubwa ambayo wameifanya katika usimamiaji wa mapato ya ndani katika kipindi cha Julai-Septemba 2019 hali iliyosababisha Manispaa ya Songea kushika nafasi ya nne kati ya Halmashauri za Manispaa 20 nchini
SOMA kwa kina hapa MANISPAA ya Songea yaingia tano bora ukusanyaji wa mapato.pdf
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa