Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari Tanzania Mkoani Ruvuma umeanza kufanyika ambapo Mashindano hayp yanaendelea kufanyika katika viwanja vya Chuo cha Ualimu Songea ambapo Manispaa ya Songea ikiwa ni mwenyeji wa mashindano hayo.
Akizungumza Afisa Elimu Sekondari Manispaa ya Songea Mwl Janeth Moyo amewataka wanafunzi katika Halmashauri yake kuongeza bidii ili waweze kuibuka washindi na kuwakilisha Mkoa wa Ruvuma.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa