• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Songea Municipal Council
Songea Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafi
      • Maji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Arthi na Mipangomiji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Legal Services
      • Mawasiliano, Habari na Teknolojia
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi isiyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MASUALA muhimu yaliyopitishwa kupitia sheria ya fedha ya mwaka 2018

Tarehe ya kuwekwa: July 3rd, 2018

MASUALA MUHIMU YALIYOPITISHWA KUPITIA SHERIA YA FEDHA YA MWAKA 2018:

  • Akaunti Jumuifu ya Hazina (Treasury Single Account) Kwa ajili ya malipo ya Serikali itaanza kufanya kazi ndani ya miezi sita kuanzia Julai 1, 2018. 
  •  
  •  Export levy yote inayotozwa kwenye korosho ghafi zinazosafirishwa nje ya nchi itakusanywa na TRA na kuwekwa kwenye Mfuko Mkuu wa Hazina. 
  •  
  • Waziri wa Fedha na Mipango amerejeshewa mamlaka ya kutoa msamaha wowote wa kodi ya mapato kwa miradi inayogharamiwa Kwa mikopo ya kibiashara.
  •  
  •  Utoaji wa msamaha wa kodi kwenye riba inayolipwa na Serikali kwa mikopo inayotolewa na nchi mbalimbali au taasisi za fedha. Msamaha huu umebainishwa moja kwa moja ndani ya Sheria ya kodi ya mapato.
  •  
  • Serikali, taasisi zake pamoja ya taasisi zisizo za Serikali hususan taasisi za kodi zimepewa msamaha wa land rent kwa ardhi itakayotumika kutoa huduma bila kupata faida kama vile shule, vituo vya afya n.k. 
  •  
  • Halmashauri zote zimewekewa sharti la kufungua akaunti za Benki baada ya kushauriana kwanza na Mhasibu Mkuu wa Serikali. 
  •  
  • Sheria ya Tume ya Mipango imefutwa na hivyo kuhitimisha hatua ya mwisho kisheria ya kuifuta Tume hiyo. 
  •  
  • Waziri wa Fedha amepewa mamlaka ya kutoa msamaha wa kodi ya VAT Kwa miradi inayogharamiwa kwa mikopo ya kibiashara. Misamaha husika itatolewa kupitia Government Notice

Matangazo

  • TANGAZO LA LESENI ZA BIASHARA January 22, 2025
  • TANGAZO la usafi wa mazingira Jumamosi ya mwisho wa mwezi Septemba 2024 February 27, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Yafanikiwa Kurejesha Mil. 9.2, na Kudhibiti Mianya ya Rushwa.

    May 30, 2025
  • TAKUKURU Ruvuma Yawezesha kupatikana fedha za makusanyo Songea Dc

    May 30, 2025
  • ALAT Ruvuma na Baraza la Madiwani la Chalinze Watembelea Manispaa ya Iringa Kujifunza Ukusanyaji wa Mapato.

    May 29, 2025
  • ISMAIL ALI MKIMBIZA MWENGE KITAIFA ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

ALAT RUVUMA ZIARANI IRINGA TC
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Songea diistrict websites
  • Madaba District Council Website
  • Tunduru District Website
  • Namtumbo District Website
  • Nyasa District Website
  • Mbinga Town Council Website
  • Mbinga District Council Website
  • Songea Municipal face book

Tovuti Mashuhuri

  • Wizara ya Fedha
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics
  • Baraza la Mitihani Tanzania

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

    Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA

    Simu ya Mezani: 025 2602970

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@songeamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa