• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Songea Municipal Council
Songea Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafi
      • Maji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Arthi na Mipangomiji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Legal Services
      • Mawasiliano, Habari na Teknolojia
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi isiyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MBIO ZA MWENGE WA UHURU MKOANI RUVUMA KUANZA TAREHE 17.04.2023, KUKABIDHI 25.04.2023

Tarehe ya kuwekwa: February 24th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanal. Laban Thomas amewataka viongozi na Wataalamu Mkoani Ruvuma kuhakiksha wanafanya ukaguzi wa  nyaraka za miradi yote itakayotembelewa na mwenge ili kujiridhisha na hatua ya  utekelezaji wa mradi husika.

Amesema kila kiongozi katika nafasi yake anapaswa kuwajibika katika kutekeleza   majukumu yake ya kazi ikiwemo   na kujenga ushirikiano katika kusimamia  miradi yote inayotekelezwa ngazi ya Halmshauri na kufikia lengo lililokusudiwa.

Hayo yamejili  katika kikao cha maandalizi ya mapokezi ya Mwenge wa Uhuru mwaka 2023 Mkoani Ruvuma kilichofanyika leo tarehe 24 Februari katika ukumbi wa Manispaa ya Songea ambapo kilihudhuriwa na viongozi ngazi ya Mkoa, Wakuu wa Wilaya, Mkatibu tawala Wilaya, Wakurugenzi wote, Waratibu wa Mwenge kila Halmashauri, pamoja na kamati ya ulinzi na usalama, kilichofanyika kwa lengo la  kupokea tathimini ya Mbio za mwenge wa Uhuru 2022 na maandalizi ya mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2023.

Kanal. Laban amesema Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2023 Mkoani Ruvuma zitaanza rasmi tarehe 17 Aprili 2023, ambao Mwenge utapokelewa ukitokea Mkoa  wa Lindi na mapokezi yatafanyika katika kijiji cha Sauti  Moja,  Wilayani  Tunduru  ambapo utakimbizwa katika Halmashauri 8 nane na kukabidhiwa katika Mkoa wa Njombe  kijiji cha Kipingu tarehe 25 Aprili 2023.”Alibanisha”

Kwa mwaka 2022 Mkoa wa Ruvuma ulipokea Mwenge wa Uhuru  tarehe 08 April 2022 katika kijiji cha Lituhi Wilaya ya Nyasa na ulikabidhiwa kwa uongozi wa Mkoa wa Mtwara  tarehe 16 April  2022 katika kijiji cha Lumesule Wilaya ya Nanyumbu.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Oddo Mwisho amesema Chama cha Mapinduzi kina wajibu wa  kutembelea miradi na kufanya  ukaguzi wa   miradi yote inayotekelezwa na Serikali ili  kujiridhisha  kila  hatua ya mradi  katika  Halmashauri.

Komredi Oddo amewataka wataalamu wte Mkoani Ruvuma kuhakikisha wanaweka kumbukumbu za kila mradi ambao utatembelewa na Mwenge ili kujirisha na utekelezaji wake.

 

IMEANDALIWA NA; 

AMINA PILLY

KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI.



Matangazo

  • TANGAZO LA LESENI ZA BIASHARA January 22, 2025
  • TANGAZO la usafi wa mazingira Jumamosi ya mwisho wa mwezi Septemba 2024 February 27, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Yafanikiwa Kurejesha Mil. 9.2, na Kudhibiti Mianya ya Rushwa.

    May 30, 2025
  • TAKUKURU Ruvuma Yawezesha kupatikana fedha za makusanyo Songea Dc

    May 30, 2025
  • ALAT Ruvuma na Baraza la Madiwani la Chalinze Watembelea Manispaa ya Iringa Kujifunza Ukusanyaji wa Mapato.

    May 29, 2025
  • ISMAIL ALI MKIMBIZA MWENGE KITAIFA ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

ALAT RUVUMA ZIARANI IRINGA TC
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Songea diistrict websites
  • Madaba District Council Website
  • Tunduru District Website
  • Namtumbo District Website
  • Nyasa District Website
  • Mbinga Town Council Website
  • Mbinga District Council Website
  • Songea Municipal face book

Tovuti Mashuhuri

  • Wizara ya Fedha
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics
  • Baraza la Mitihani Tanzania

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

    Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA

    Simu ya Mezani: 025 2602970

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@songeamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa