MBUNGE wa Jimbo la Songea mjini Dk.Damas Ndumbaro aliyechaguliwa mwezi huu kuwa Mbunge wa Jimbo la Songea mjini ameapishwa leo Bungeni Dodoma.
Naibu Meya wa Manispaa ya Songea Yobo Mapunda ni miongoni mwa viongozi toka Manispaa ya Songea ambaye ameshiriki katika Hafla hiyo. Tunamtakia majukumu mema Mbunge wetu ya kuijenga Songea mpya .
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa