MBUNGE wa Jimbo la Songea mjini Dkt.Damas Ndumbaro leo Juni 25,2018 amefanya mazungumza na Balozi wa Ujerumani hapa nchini Tanzania.
Mbunge wa Songea mjini na ametumia fursa ya mazungumza na Balozi huyo kumshawishi na kumuelezea fursa mbalimbali za uwekezaji na utalii zinazopatikana katika Manispaa ya Songea na Mkoa wa Ruvuma kwa ujuml wake.
Mazungumzo hayo yanafanyika wakati mji wa Songea unatarajiwa kufunguka katika uwekezaji na utalii baada ya serikali kuwa katika hatua za mwisho za mkoa wa Ruvuma kuunganishwa na umeme wa Grid ya Taifa ambapo Septemba mwaka huu unatarajiwa umeme wa Grid ya Taifa kuwashwa katika mji wa Songea.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa