MSTAHIKI Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea Alhaji Abdul Hassan Mshaweji amezungumzia mafanikio ambayo manispaa hiyo imeyapata ikiwemo kupata Hati safi mfululizo kufuatia ukaguzi wa mahesabu ambao umefanywa na CAG.Mshaweji alikuwa anazungumza katika kikao maalum cha kujibu hoja kilichofanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea na kuhudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa