• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Songea Municipal Council
Songea Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafi
      • Maji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Arthi na Mipangomiji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Legal Services
      • Mawasiliano, Habari na Teknolojia
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi isiyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Meya wa Songea Atoa Wito kwa Familia Kuchangia Damu Kuokoa Maisha.

Tarehe ya kuwekwa: June 14th, 2025

Na; Amina Pilly

Songea, 14 Juni 2025 – Mstahiki Meya wa Manispaa ya Songea, Mhe. Michael Mbano, ametoa wito kwa familia zote kushiriki kikamilifu katika uchangiaji wadamu kwa hiari, akisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu kuhakikisha upatikanajiwa damu salama wakati wa dharura na kuokoa maisha ya wanajamii.

Kauli hiyo ameitoa leo wakati wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Mchangia Damu Kitaifa, yaliyofanyika katika viwanja vya Bustani ya Manispaa ya Songea, mkoani Ruvuma ambapo Wikihiyo ilianza tarehe 01 Juni 2025 na kufikia tamati leo, tarehe 14 Juni 2025,siku ambayo dunia huadhimisha Siku ya Wachangiaji Damu Duniani.

Akizungumza kwa niaba ya Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma alisema, Kwa mujibu wa takwimu za Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022,Mkoa wa Ruvuma una takribani watu milioni 1.8, ambapo unahitaji chupa 14,789 za damu kila mwaka. Hata hivyo, kwa mwaka 2024, mkoa uliweza kukusanya chupa 7,016 tu, sawa na 47%ya mahitaji ya kila mwaka. Katika kipindi cha Januari hadi 12 Juni 2025, jumlaya chupa 4,040 zilikusanywa,sawa na 27% ya lengo la mwakahuu.

Aidha, alifafanua kuwa watumiaji wakubwa wadamu salama ni:Watoto chini ya miaka 5 (50%), Mamawajawazito (30%), Wahanga wa ajali, wagonjwa wa ndani, nawanaohitaji upasuaji (20%)

Kwa upande wake, Mganga Mkuu Msaidiziwa Mkoa wa Ruvuma, Dkt. Chihoma Mhako, alieleza kuwa damu haiwezi kutengenezwa kiwandani au kuuzwa madukani, hivyo ni muhimu jamii ichangie kwahiari.

Alibainisha kuwa katika wiki ya mchangia damu pekee, zilikusanywa chupa 1,213, sawa na 17.16% ya lengo la wiki ya kuchangia damu(chupa 1,035).

Mhe. Mbano alihitimisha kwa kusisitiza kuwa "ni wajibu wa kila familiana mwanajamii kuhakikisha anachangia damu mara kwa mara, kwa kuwa damu huokoamaisha – si kwa wageni tu, bali kwa familia zetu wenyewe."

Matangazo

  • TANGAZO LA LESENI ZA BIASHARA January 22, 2025
  • TANGAZO la usafi wa mazingira Jumamosi ya mwisho wa mwezi Septemba 2024 February 27, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Meya Mbano; Amewataka Wananchi Kulinda Haki za Watoto

    June 16, 2025
  • Meya wa Songea Atoa Wito kwa Familia Kuchangia Damu Kuokoa Maisha.

    June 14, 2025
  • Manispaa ya Songea Yapata Hati Safi kwa Miaka 5 Mfululizo.

    June 13, 2025
  • Wasira Amewataka Wananchi Kulinda Amani ya Taifa.

    June 13, 2025
  • Tazama zote

Video

SONGEA MC YAPATA HATI SAFI KWA MIAKA 5 MFULULIZO
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Songea diistrict websites
  • Madaba District Council Website
  • Tunduru District Website
  • Namtumbo District Website
  • Nyasa District Website
  • Mbinga Town Council Website
  • Mbinga District Council Website
  • Songea Municipal face book

Tovuti Mashuhuri

  • Wizara ya Fedha
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics
  • Baraza la Mitihani Tanzania

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

    Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA

    Simu ya Mezani: 025 2602970

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@songeamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa