HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imepanda miche ya miti ya asili 5200 katika bonde la mto Luhira ambalo Mamlaka ya maji safi na taka (SOUWASA) wanatumia chanzo hicho kusambaza maji katika mji wa Songea.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa