MKURUGENZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma Tina Sekambo amejipanga kuhakikisha kuwa mapato ya Halmashauri hiyo yanapanda ili kufikia malengo ya liowekwa na serikali ya kila Halmashauri kukusanya mapato kwa zaidi ya asilimia 80.Sekambo hivi sasa amewapanga wakuu wa Idara na vitengo kuhakikisha wanasimamia vizuri mashine za kukusanyia mapato na kuongeza uhamasishaji wa matangazo kupitia magari ya matangazo,vyombo vya habari na mitandao ya kihabari ili kuhakikisha kila mfanyabiashara na mtoa huduma anawajibika kulipa kodi kulingana na biashara anazofanya.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa