Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea Wakili.Bashir Muhoja amewaongoza wakuu wa Idara na Vitengo katika kutembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa barabara Km.10.01 ambayo inajengwa kwa kiwango cha lami yenye thamani ya shilingi Bil. 22.2.
Ziara hiyo imeafanyika tarehe 16 Januari 2025 ambapo ilihudhuriwa na wakuu wa idara na vitengo kwa lengo la kufanya ufuatiliaji hatua ya ujenzi huo.
Imeandaliwa na
Amina Pilly
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa