Mkurugenzi wa Halmashaui ya Manispaa ya Songea Tina Sekambo alivyomkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkurugenzi wa Halmashauri ya Madaba wilayani Songea Shafi Mpenda mkoani Ruvuma.Makabidhiano hayo yamefanyika Juni 8 katika kijiji cha Likalangiro wilayani Songea .Mwenge wa Uhuru 2018 katika Manispaa ya Songea umekimbizwa na kupitia miradi tisa yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 945 ambapo katika Halmashauri ya Madaba Mwenge wa Uhuru unatarajia kupitia miradi saba.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa