KAIMU Mkuu wa Taasisi na Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoani Ruvuma Owen Jasson ametoa taarifa ya utendaji kazi wa TAKUKURU katika kipindi kinachoaanzia Julai hadi Septemba 2018 kwa wanahabari katika mkutano ulifanyika kwenye ukumbi wa TAKUKURU eneo la Mahenge Manispaa ya Songea.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa