MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China Nchini Tanzania Balozi Wang Ke katika Ofisi za Ubalozi na kumkabidhi kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Mkoa wa Ruvuma.
Huu ni mwendelezo wa kuzitangaza fursa za Uwekezaji zilizopo katika Mkoa wa Ruvuma
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa