Picha mbalimbali za matukio ya watumishi wa umma, Mashirika binafsi, pamoja na vyama mbalimbali vya wafanyakazi ambao wameshiriki maadhimisho hayo.
Kwa Mkoa wa Ruvuma maadhimisho yamefanyika katika uwanja wa majimaji ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe. Peres Magiri ambaye alimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma.
NA;
AMINA PILLY
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa