MKUU wa wilaya ya Songea amegawa vitambulisho vya wajasirimali wadogo katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea vilivyotolewa na Rais Dkt.John Magufuli .Mkoa wa Ruvuma umepewa mgawo wa vitambulisho 25,000 ambapo wilaya ya Songea imepokea mgawo wa vitambulisho 5,000.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa