• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Songea Municipal Council
Songea Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafi
      • Maji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Arthi na Mipangomiji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Legal Services
      • Mawasiliano, Habari na Teknolojia
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi isiyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MPINGO UMESALIA KATIKA NCHI MBILI DUNIANI

Tarehe ya kuwekwa: December 7th, 2017

Mpingo ni mti ambao umeadimika sana duniani ,miaka ya karibuni ulikuwa unapatikana kusini mwa Ethiopia na Kenya.

Wataalam wa miti wanasema  hivi sasa mpingo unapatikana nchini Tanzania na kaskazini mwa nchi ya Msumbiji.

Inaaminika  kuwa mpingo ndiyo mti wenye thamani kubwa zaidi duniani, ambapo kwa sasa unagharimu zaidi ya  dola 25,000 kwa mita moja ya ujazo.  

Licha ya kwamba mpingo haujawa miongoni mwa miti iliyopo hatarini kupotea duniani,unavunwa katika hali isiyokuwa endelevu.

Mti huo  kimataifa unawekwa kuwa moja ya Viumbehai Waliopo Hatarini Kutoweka,ambapo unaweza kupotea kabisa katika kizazi kimoja au viwili kama hakuna hatua ambazo zitachukuliwa kuuokoa.

Kwa mujibu wa Sebastian Chuwa,Mtaalam wa mimea anasema Mti wa mpingo unakua polepole mno ambao unachukua kati ya miaka 50 hadi 70 kukomaa na kuanza kuvunwa hivyo unatakiwa kuhifadhiwa.


Pamoja na kwamba Wizara ya Maliasili na Utalii ya Tanzania imezuia usafirishaji wa mpingo nje,hata hivyo mti huo unaendelea kuvunwa kwa kasi kubwa, hasa katika upande wa kusini kwa Tanzania.

Inakadiriwa kuwa kuna miti ya mpingo chini ya milioni tatu iliyosalia barani Afrika, mingi ikiwa nchini Tanzania na kaskazini mwa Msumbiji.

Imeandaliwa na Albano Midelo

Afisa Habari Ruvuma





Matangazo

  • TANGAZO LA LESENI ZA BIASHARA January 22, 2025
  • TANGAZO la usafi wa mazingira Jumamosi ya mwisho wa mwezi Septemba 2024 February 27, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Yafanikiwa Kurejesha Mil. 9.2, na Kudhibiti Mianya ya Rushwa.

    May 30, 2025
  • TAKUKURU Ruvuma Yawezesha kupatikana fedha za makusanyo Songea Dc

    May 30, 2025
  • ALAT Ruvuma na Baraza la Madiwani la Chalinze Watembelea Manispaa ya Iringa Kujifunza Ukusanyaji wa Mapato.

    May 29, 2025
  • ISMAIL ALI MKIMBIZA MWENGE KITAIFA ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

ALAT RUVUMA ZIARANI IRINGA TC
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Songea diistrict websites
  • Madaba District Council Website
  • Tunduru District Website
  • Namtumbo District Website
  • Nyasa District Website
  • Mbinga Town Council Website
  • Mbinga District Council Website
  • Songea Municipal face book

Tovuti Mashuhuri

  • Wizara ya Fedha
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics
  • Baraza la Mitihani Tanzania

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

    Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA

    Simu ya Mezani: 025 2602970

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@songeamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa