MRADI wa ujenzi ya hospitali ya wilaya ya Songea mkoani Ruvuma unaotekelezwa katika kijiji cha Mpitimbi B Halmashauri ya Wilaya ya Songea umefika asilimia 75.Mradi huo umegharamiwa na serikali ya Awamu ya Tano inayoongoa na Rais Dkt John Magufuli kwa kiasi cha shilingi bilioni 1.5.Mradi unajumjuisha majengo saba ambayo ni utawala,jengo la mama na mtoto,X-Ray,maabara,chumba cha kuhifadhia dawa,jengo la kufulia na maabara.Eneo la mradi lina ukubwa wa ekari 72.3 ambapo mradi unatarajia kukamilika mwishoni mwa mwezi Agosti 2019.
Imeandaliwa na Jacline Moyo
Afisa Habari Halmashauri ya Wilaya ya Songea
Julai 31,2019
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa