MRADI wa ujenzi wa kituo cha Afya Kata ya Ruvuma Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma umefikia asilimia 98.Mradi huo umegharimu shilingi milioni 400.Kukamilika kwa mradi huu kutawezesha wakazi zaidi ya 45,000 kunufaika na mradi huo wanaotoka katika kata za Ruvuma,Subira,Majengo,Mateka na Mfaranyaki.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa