MRADI wa ujenzi wa machinjio ya kisasa katika kata ya Tanga Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma umefikia asilimia 95.Mradi huu unafadhiliwa na Benki ya Dunia kwa gharama ya shilingi bilioni 3.2 .Mradi huu ukikamilika ,itakuwa ndiyo machinjio bora zaidi Tanzania bara.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa