MSTAHIKI Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma Alhaj Abdul Hassan Mshaweji ameongoza mkutano wa Baraza la Madiwani la Manispaa ya Songea,mkutano ambao umefanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa