• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Songea Municipal Council
Songea Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafi
      • Maji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Arthi na Mipangomiji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Legal Services
      • Mawasiliano, Habari na Teknolojia
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi isiyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mtella Apongeza Mafanikio ya Mkataba wa Lishe Songea MC; Aelekeza Bima ya Afya kuwa Ajenda ya Kudumu

Tarehe ya kuwekwa: February 11th, 2026

Katibu Tawala wa Wilaya ya Songea, Mtella Mwampamba, amewapongeza Maafisa Watendaji wa Kata wa Manispaa ya Songea kwa jitihada zao katika kusimamia utekelezaji wa mkataba wa lishe, hatua iliyochangia kupanda kwa utekelezaji kutoka asilimia 32 hadi asilimia 74.7 katika robo ya pili ya mwaka huku akisisitiza kuongeza juhudi ili kuongeza asilimia 2 pekee kufikia mstari wa kijani.

Mwampamba amesema kuwa mwanzoni mwa utekelezaji wa zoezi hilo kulikuwa na makaripio makali kutokana na matokeo yasiyoridhisha, lakini ongezeko hilo kubwa limepunguza ukali wa maneno kutoka kwa viongozi baada ya kuona matunda ya kazi inayofanywa.

Hayo yamejiri leo, Februari 11, 2026, katika kikao cha utekelezaji wa Mkataba wa Lishe kilichofanyika katika Ukumbi wa Manispaa ya Songea, kikihudhuriwa na Maafisa Watendaji wa Kata 21 kwa lengo la kufanya tathmini na ufuatiliaji wa utekelezaji wa mkataba huo.


Katika maelekezo yake, Mwampamba alinukuu agizo la Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan la Januari 26 mwaka huu, kuwa suala la Bima ya Afya kwa Wote liwe ajenda ya kudumu katika kila kikao. Hivyo, alielekeza kuwa kuanzia sasa, bima ya afya itakuwa ajenda ya kudumu katika vikao mbalimbali vya kamati ya maendeleo ya kata katika  halmashauri hiyo.

Alisema jukumu la watendaji litakuwa kutoa elimu kwa wananchi kuhusu Bima ya Afya kwa Wote, pamoja na kutambua makundi yatakayonufaika, ikiwemo watu wenye ulemavu, watoto chini ya miaka mitano na wazee. Alieleza kuwa Serikali imewekeza fedha nyingi kuhakikisha huduma hiyo inatolewa kwa ufanisi, huku akiwataka watendaji kujiandaa kusimamia utekelezaji wake na kuhakikisha kila mwananchi anasajiliwa.

Aidha, alitoa taarifa kuhusu maadhimisho ya kumbukizi ya Vita vya Majimaji yanayofanyika kila mwaka Februari 27, ambapo mwaka huu mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi.

Katika hatua nyingine, halmashauri ilitoa vyeti vya pongezi kwa kata zilizofanya vizuri katika afua ya utoaji wa chakula kwa wanafunzi shuleni. Kata zilizotajwa kufanya vizuri ni Matogoro, Matarawe, Subira na Mjini, huku Kata ya Matogoro ikiongoza.

Akizungumza kwa niaba ya washindi, Afisa Mtendaji wa Kata ya Matogoro, Bi. Neema Hinju, alisema kata hiyo ina jumla ya shule tano, zikiwemo tatu za msingi na mbili za sekondari. Alibainisha kuwa mafanikio yao yametokana na ushirikiano kati ya wazazi, wanafunzi na bodi za shule. Aidha, alisema wameweka mkakati wa kila shule kuwa na robo tatu ya ekari ya zao la mahindi ili kuimarisha upatikanaji wa chakula shuleni, sambamba na michango ya wazazi

Matangazo

  • TANGAZO LA LESENI ZA BIASHARA January 05, 2026
  • TANGAZO la usafi wa mazingira Jumamosi ya mwisho wa mwezi Januari 2026 January 19, 2026
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kapenjama Ndile, Atoa Ufafanuzi Kuhusu Bei ya Bei ya Mbolea, Atoa Rai Matumizi ya Nishati Mbadala.

    February 18, 2026
  • Kapenjama Ndile, Atoa Ufafanuzi Kuhusu Bei ya Bei ya Mbolea, Atoa Rai Matumizi ya Nishati Mbadala.

    February 18, 2026
  • Mtella Apongeza Mafanikio ya Mkataba wa Lishe Songea MC; Aelekeza Bima ya Afya kuwa Ajenda ya Kudumu

    February 11, 2026
  • Mtella Apongeza Mafanikio ya Mkataba wa Lishe Songea MC; Aelekeza Bima ya Afya kuwa Ajenda ya Kudumu

    February 11, 2026
  • Tazama zote

Video

Yaliyojiri Kikao cha DCC Songea
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Songea diistrict websites
  • Madaba District Council Website
  • Tunduru District Website
  • Namtumbo District Website
  • Nyasa District Website
  • Mbinga Town Council Website
  • Mbinga District Council Website
  • Songea Municipal face book

Tovuti Mashuhuri

  • Wizara ya Fedha
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics
  • Baraza la Mitihani Tanzania

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

    Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA

    Simu ya Mezani: 025 2602970

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@songeamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Slot Gacor
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Judi Online
  • KOI200
  • KOI200
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • toto slot
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • toto
  • slot gacor
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • situs toto
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • toto slot
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • situs toto
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • situs toto
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • toto slot
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto
  • axl777
  • AXL777
  • yamitoto
  • DORA77