MTI wa ajabu kama unavyoonekana ukiwa na sura kama ya binadamu pamoja viungo vinavyofanana na mwanamke,umekuwa kivutio adimu cha utalii nchini Misiri.
Watafiti wa mambo Kaskazini mwa nchi ya Misri wameshikwa na butwaa baada ya kuugundua mti huu mkubwa wenye umbo kama la binadamu tena mwanamke wa kike na kusababisha taharuki kubwa nchini humo
Habari juu ya maajabu hayo zilirushwa kwenye televisheni moja ya nchini Misiri na kusababisha wananchi nchini humo kuogopa huku wengine wakisema sasa huu ni mwisho wa dunia.
watafiti hao wanayataja maajabu mengine ya mti huu kama unavyoonekana kwenye picha hii ni kwamba huwa hauoti matawi lakini ni mbichi na ukiusogelea karibu unakutana na baridi kali zaidi ya ile ya ile ya kiyoyozi hali inayofanya kuwa kivutio kwa watalii wa ndani na nje ya Misri wanaomiminika kuushangaa maajabu ya mti huu.
Imeandikwa kwa msaada wa mitandao ya kihabari
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa