Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dr Bilinith Mahenge ameagiza kila mwananachi wa Dodoma kutembea na kitambulisho chake cha taifa na atakayeshindwa kufanya hivyo atahojiwa. Hii ikiwa ni mwendelezo Operation ya kupambana na matukio mbalimbali ya uhalifu ambayo yamekuwa yakifanywa na baadhi ya watu katika mkoa huo.
SOMA zaidi hapa http://millardayo.com/ki897b/
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa