Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali. Ahmed Abbas Ahmed amewapongeza wananchi kwa kujitokeza kwa wingi katika zoezi la upigaji kura ambalo liinaendelea kufanyika katika vituo mbalimbali Mkoani Ruvuma.
Kanali. Abbas alisema vituo vya upigaji kura vimefunguliwa saa 2;00 asubuhi na kufungwa saa 10;00 jioni ambapo amepiga kura katika ofisi ya kata Mjini kituo cha ofisi ya kata namba 1.
Amesema zoezi la upigaji wa kura linakwenda vizuri, kwa amani na utulivu.
IMEANDALIWA NA;
AMINA PILLY'
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa