Mwenge wa Uhuru kwa Halmashauri ya Manispaa ya Songea umepokelewa tarehe 22/09/2019 katika kata ya Tanga eneo la Shule ya Msingi Sanangula. Mwenge wa Uhuru umekimbizwa kwa jumla ya km 107 na kisha ulikabidhiwa katika Halmashauri ya Mbinga Mji.
Katika mbio hizi, Mwenge wa Uhuru umekimbikizwa katika jimbo moja la uchaguzi la Songea Mjini na utapita katika Mitaa 19 kata 9 na tarafa 2.
Katika maeneo hayo, Mwenge wa Uhuru umepitia jumla ya miradi 6 yenye thamani ya Shilingi 6,727,509,867.30 kwa mchanganuo ufuatao;
Ndugu kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Katika miradi itakayopitiwa na Mwenge wa Uhuru leo hii kazi zifuatazo zitafanyika;
Mchanganuo wa Miradi hii kisekta ni kama ifuatavyo:-
Miradi yote 6 imezingatia vigezo muhimu vya Mwenge wa Uhuru 2019..
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa