KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2018 Charles Kabeho Juni 7 mwaka huu amefungua vyumba vinne vya madarasa katika shule ya msingi Kibulang'oma Kata ya Lizabon Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma vyenye thamani ya shilingi milioni 37 baada ya kuridhishwa na ujenzi wa miundombinu yake.Mwenge wa Uhuru katika Manispaa ya Songea umepitia miradi tisa yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 945
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa