HAPA ni Mwambao mwa ziwa Nyasa katika eneo la Liuli Wilaya ya Nyasa Mkoa wa Ruvuma.Ziwa Nyasa ni kivutio adimu cha utalii duniani.Moja ya mambo ambayo yanasababisha wageni kutoka Bara la Ulaya na maeneo mengine duniani kutembelea ziwa Nyasa ni kuona kivutio cha maji maangavu.Ziwa Nyasa linaongoza duniani kwa kuwa na maji maangavu.Lakini pia ukifika Liuli kuna vivutio lukuki vya utalii na uwekezaji ambavyo vinaweza kusababisha kuhamia moja kwa moja.Nitaendelea kukuletea vivutio vingine
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa