Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Christina Mndeme sehemu ya awamu ya pili ya vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni Katibu Mkuu TAMISEMI Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana.
Katika awamu ya kwanza Rais Magufuli alitoa vitambulisho 25,000 kwa ajili ya wajasirimali wadogo ambapo kila wilaya ilipewa vitambulisho 5,000.Wilaya hizo ni Namtumbo,Songea,Tunduru,Mbinga na Nyasa.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa