Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Balozi wa Denmark nchini Mhe.Heinar Jensen pamoja na wadau wa Maendeleo wakipiga makofi mara baada ya kufunua kitambaa kuashiria Uzinduzi rasmi wa Kituo cha Afya Madaba mkoani Ruvuma.Kituo cha Afya Madaba ni miongoni mwa vituo vya Afya kumi vipya ambavyo vimejengwa na serikali ya Awamu ya Tano katika Mkoa wa Ruvuma.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa