Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanal. Laban Thomas ameunda kamati ya watu nane kwa ajili ya kusikiliza kero mbalimbali zinahusu migogoro ya ardhi Mkoani Ruvuma kwa lengo la kupata utatuzi wa migogoro hiyo.
Kamati hiyo imezinduliwa tarehe 18 Novemba 2023 katika ukumbi wa Manispaa ya Songea iliyoshirikisha wadau mbalimbali na wananchi wenye migogoro na malalmiko yanayohusu aridhi pamoja na waaalamu wa aridhi.
IMEUNDWA NA;
AMINA PILLY;
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa