Picha mbalimbali za matukio y uzinduzi wa kampeni ya mpango harakishi wa uibuaji wa wagonjwa wa kifua kiuu.
Uzinduzi huo umefanyika tarehe 23 januari 2025 kwa lengo la kuhamasisha jamii kujitokeza kwa wingi kupima ugonjwa wa kifua kikuu ili kubaini afya zao
IMEANDALIWA NA;
AMINA PILLY
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa