SHIRIKA lisilo la kiserikali la RUuvuma Orphans Association ROA limetoa msaada wa mifuko 20 ya saruji kwa ajili ya ujenzi katika shule ya msingi Misufini na fedha taslimu shilingi 400,000 kwa ajili ya kuingizia umeme katika shule ya msingi Matogoro.Hafla ya kukabidhi misaada huo imefanyika katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Songea aliyewakilishwa na Katibu Tawala wa Wilaya hiyo Pendo Ndumbaro.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa