• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Songea Municipal Council
Songea Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafi
      • Maji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Arthi na Mipangomiji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Legal Services
      • Mawasiliano, Habari na Teknolojia
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi isiyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RRAS RUVUMA APONGEZA UBORA WA MIRADI SONGEA MC

Tarehe ya kuwekwa: November 12th, 2025

Timu ya wataalamu ngazi ya Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Bi Mary Makondo, imefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea kuanzia tarehe 12 hadi 13 Novemba 2025.

Akizungumza na wataalamu kwenye kata na miradi mbalimbali aliyotembelea, Bi Makondo aliwapongeza kwa usimamizi bora wa miradi inayoonyesha ubora na thamani halisi ya fedha zilizotumika.

“Pongezi kwa usimamizi wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Amali wenye thamani ya Shilingi Bilioni 1.6 fedha za SEQUIP na Shilingi Milioni 38 za mapato ya ndani, ambao upo katika hatua ya asilimia 97. Mafanikio haya yametokana na uzalendo, bidii ya kazi na uadilifu,” alisema Bi Makondo.

Aidha, aliwataka wataalamu hao kukamilisha miundombinu ya nje na kuweka mikakati endelevu ya utunzaji wa miradi ili idumu kwa muda mrefu kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho.

Akizungumzia mradi wa ujenzi wa Shule ya Jumbe Idd iliyopo Kata ya Ruhuwiko, ambao unatekelezwa kwa fedha za SEQUIP kiasi cha Shilingi Bilioni 0.581 pamoja na Shilingi Milioni 100 za mapato ya ndani, Bi Makondo alisisitiza umuhimu wa kusogeza huduma bora za elimu kwa jamii. Aliwahimiza walimu na viongozi wa Serikali za Mitaa kutunza mazingira, kudhibiti utoro wa wanafunzi, na kuendelea kushirikiana na wazazi katika uchangiaji wa chakula shuleni.

Kuhusu mradi wa maegesho ya magari makubwa (maroli), Bi Makondo aliwapongeza wataalamu kwa ubunifu na usimamizi bora wa mradi huo, akieleza kuwa ni fursa muhimu kutokana na eneo hilo kuunganisha Halmashauri za Mbinga, Songea DC na Mbinga Mji. Aliwataka wananchi na viongozi wa kata husika kulinda na kutunza miundombinu hiyo kwa matumizi ya sasa na vizazi vijavyo

Ziara hiyo imehitimishwa tarehe 13 Novemba 2025.

IMEANDALIWA NA;

AMINA PILLY,

KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI.

Matangazo

  • TANGAZO LA LESENI ZA BIASHARA October 17, 2025
  • TANGAZO la usafi wa mazingira Jumamosi ya mwisho wa mwezi Oktoba 2025 October 18, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA YATOA MAFUNZO YA SHERIA ZA MANUNUZI YA UMMA KUBORESHA UTENDAJI KAZI

    January 08, 2026
  • Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Apokea Taarifa ya Kifo cha Mhe. Jenista Mhagama- Mbunge wa Pearamiho

    December 11, 2025
  • Tathimini ya Elimu Manispaa ya Songea

    December 08, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Aketi na Vijana Mkoani Ruvuma; Asisitiza Amani

    December 05, 2025
  • Tazama zote

Video

RC RUVUMA, AKETI NA VIJANA MKOANI RUVUMA; ASISITIZA AMANI
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Songea diistrict websites
  • Madaba District Council Website
  • Tunduru District Website
  • Namtumbo District Website
  • Nyasa District Website
  • Mbinga Town Council Website
  • Mbinga District Council Website
  • Songea Municipal face book

Tovuti Mashuhuri

  • Wizara ya Fedha
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics
  • Baraza la Mitihani Tanzania

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

    Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA

    Simu ya Mezani: 025 2602970

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@songeamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Slot Gacor
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Judi Online
  • KOI200
  • KOI200
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • toto slot
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • DANATOTO
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77