MKURUGENZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma Tina Sekambo amekiambia kikao cha Baraza la madiwani wa Halmashauri hiyo kuwa serikali imetoa shilingi milioni 100 katika shule 4 za sekondari ili kutekeleza mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa.Shule hizo ni sekondari ya Mateka,Msamala,Lizaboni na Matarawe.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa