• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Songea Municipal Council
Songea Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafi
      • Maji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Arthi na Mipangomiji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Legal Services
      • Mawasiliano, Habari na Teknolojia
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi isiyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SHULE ZOTE ZIHAKIKISHE ZINATOA CHAKULA CHENYE VIRUTUBISHO IFIKAPO JULAI 2023.

Tarehe ya kuwekwa: May 24th, 2023

Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea Dkt. Frederick Sagamiko  amewataka maafisa Elimu Msingi na Sekondari na maafisa lishe kuhakikisha wanasimamia  zoezi la wanafunzi  kupata chakula   chenye viini lishe ili kuondoa hali ya udumavu.

Hayo yamejili katika kikao cha kamati ya lishe cha robo ya  tatu ya mwaka ambacho kimefanyika tarehe 24 Mei  katika ukumbi wa  Manispaa  ya  Songea na kuhudhuriwa na viongozi wa dini, watalaamu  pamoja na wadau mbalimbali kwa lengo la kufanya tathimini ya hali ya Lishe ngazi ya Halmashauri.

Dkt. Sagamiko ametoa rai kwa maafisa Watendaji kata/mitaa kushirikiana na maafisa lishe katika kuhamasisha na kuwaelimisha wazazi wajibu na umuhimu wa kuchangia   chakula kwa wanafunzi   shuleni  katika  kipindi cha  masomo yao.

Kwa upande wake Mganga mkuu wa Manispaa ya Songea Dkt. Amos Mwenda amewataka maafisa lishe kufanya ukaguzi wa viwanda  vya usindikaji wa chakula  kuhakikisha vinakuwa na mashine za kuchanganyia viini lishe.

Alisema Wazabuni wanapaswa kupewa Elimu juu ya kusambaza chakula chenye virutubisho shuleni  ili kujenga afya za wanafunzi na kuondoa tatizo la utapia mlo  na udumavu katika jamii   Manispaa ya Songea. Dkt.Mwenda alibainisha.

Naye Afisa lishe Manispaa ya Songea Albert Sinkamba amewataka maafisa Elimu Msingi na Sekondari  kutoa ushirikiano kwa maafisa watendaji kata/mitaa wakati wa  kufanya vikao mbalimbali vya wananchi au wazazi  na  kutoa miongozo kwa wazazi juu ya mustakabali wa kuchangia chakula   shuleni.

IMEANDALIWA NA;

AMINA PILLY

KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI. 

 





Matangazo

  • TANGAZO LA LESENI ZA BIASHARA January 22, 2025
  • TANGAZO la usafi wa mazingira Jumamosi ya mwisho wa mwezi Septemba 2024 February 27, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Yafanikiwa Kurejesha Mil. 9.2, na Kudhibiti Mianya ya Rushwa.

    May 30, 2025
  • TAKUKURU Ruvuma Yawezesha kupatikana fedha za makusanyo Songea Dc

    May 30, 2025
  • ALAT Ruvuma na Baraza la Madiwani la Chalinze Watembelea Manispaa ya Iringa Kujifunza Ukusanyaji wa Mapato.

    May 29, 2025
  • ISMAIL ALI MKIMBIZA MWENGE KITAIFA ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

ALAT RUVUMA ZIARANI IRINGA TC
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Songea diistrict websites
  • Madaba District Council Website
  • Tunduru District Website
  • Namtumbo District Website
  • Nyasa District Website
  • Mbinga Town Council Website
  • Mbinga District Council Website
  • Songea Municipal face book

Tovuti Mashuhuri

  • Wizara ya Fedha
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics
  • Baraza la Mitihani Tanzania

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

    Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA

    Simu ya Mezani: 025 2602970

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@songeamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa