JESHI la Polisi Tanzania linatangaza nafasi za ajira kwa mwaka wa fedha 2017/2018 kwa vijana wa JKT wa Operesheni Kikwete waliopo nje ya kambi za JKT (waliomaliza mkataba wenye elimu ya kidato cha nne, sita, stashahada, stashahada ya juu na shahada.
Waombaji watatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:
nne, sita na stashahada. 4. Awe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi 28 kwa wenye elimu ya Stashahada ya juu
na Shahada. 5. Awe na elimu ya kidato cha nne aliyemaliza mwaka 2014, 2015 na 2016 mwenye ufaulu
ufuatao:-
. Aliyemaliza mwaka 2014 awe na ufaulu wa GPA usiopungua 0.6
vyeti vya kuhitimu elimu aliyonayo (Leaving Certificate/Transcript). 10. Awe na picha 3 za rangi (passport size). 11. Asiwe na kumbukumbu za uhalifu. 12. Awe na afya njema (kimwili na kiakili) iliyothibitishwa na daktari wa serikali. 13. Awe hajaoa/hajaolewa au kuwa na mtoto. 14. Asiwe na alama za kuchora mwilini (Tattoo). 15. Awe tayari kufanya kazi za Polisi mahali popote Tanzania. 16. Awe na urefu usiopungua futi tano inchi tano (5.5″) kwa wanaume na futi tano na inchi
tatu (5.3) kwa wanawake. 17. Waombaji watakaofaulu usaili ndio watakaochaguliwa. 18. Awe hajawahi kutumia madawa ya kulevya.
19. Awe tayari kuhudhuria mafunzo ya Polisi. 20. Awe hajaajiriwa na Taasisi nyingine. 21. Waombaji wote waandike barua za maombi wao wenyewe kwa mkono (hand written)
wakiambatanisha nakala za vivuli vya vyeti kwa anuani ifuatayo:- Inspekta Jenerali wa Polisi, Makao Makuu ya Polisi,
S.L.P 9141 Dar es Salaam.
NB: Barua za maombi ziwasilishwe kwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa
ambapo mwombaji yupo. 22. Waombaji wenye masomo/taaluma za Sayansi na Ufundi watapewa kipaumbele. 23. Usaili utafanyika kwenye Ofisi ya Kamanda wa Mkoa husika. 24. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 01/07/2018.
Kwa maelezo/ufafanuzi zaidi kuhusu nafasi, sifa na vigezo pamoja na tarehe ya kuanza usaili tembelea tovuti ya Polisi kwa anuani ifuatayo www.policeforce.go.tz au fika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa uliopo.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa